Hiace ya aina ipi(body ipi, engine gani, nk) unahitaji na kwa budget gani?Gari nzuri sana.
Mm nahitaji Toyota Hiace iliyo kwenye hali nzuri.
Sijagui sibagui ikiwa 3L au 5L itapendeza.Hiace ya aina ipi(body ipi, engine gani, nk) unahitaji na kwa budget gani?
Nicheki WhatsApp 0755963775Sijagui sibagui ikiwa 3L au 5L itapendeza.
Bajeti inategemea ubora wa gari.
Hapana mkuu [emoji1666]