Yusufu Mjasili
Member
- Oct 31, 2021
- 38
- 66
Kuna na yule mwenzie wa raum sijui watakaa nazo sanaGari ya million 12 imeshatumika unauzaje million 14?
Halafu Rangi yenyewe ni kama rangi ya nyumba, maana Rangi za magari ni grey,silver, black na maroon.Kuna na yule mwenzie wa raum sijui watakaa nazo sana
Kwa kujifanya hawaelewi resale value za magari
Tukienda na uhalisia kabisa hiyo laki tatu yako inatosha kuingia nayo mtaa huu tu.Tukienda na uhalisia kabisa hiyo gari ilitakiwa kuuzwa lakitatu
Duuuh!!!!Gari ya million 12 imeshatumika unauzaje million 14?