Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

DANIEL MWITA

Senior Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
117
Reaction score
41
Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 79,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 31m
Call/watsap 0715140001
 

Attachments

  • DEC5C9F3-23CF-4BC3-9030-44CC19889801.jpeg
    218.9 KB · Views: 64
  • 42D5CCE7-5046-4D6B-9FC8-40801E9FF81A.jpeg
    85.3 KB · Views: 66
Totally general service umefanya kwa wakati gani kuanzia kulimiliki hilo Gari..tuanzie hapa..?
 
Weka picha ya odometer kuondoa utata mkuu
Mkuu hii haitoshi kama unataka kuamin mimi mtu akija kukagua namuonesha picha za gari ikiwa na Odometer ya japan kabla ya kuagiza mana picha zote ninazo halafu ataangalia mwenyewe mana gari ina miez mitatu tu

Siwezi fanya biashara ya ujanja ujanja kaka..........hii gari nauza sababu naenda masomon nje ya nchi
 
Noted, kila la kheri boss. Exchange na subaru xt unafanya?
 
Sikatai mkuu lakini ongeza gharama zingine mf. gar nimeilipia bima kubwa 1.2m, cover safar automotive 1.5m nimefunga tyre zote mpya 960,000 jumla 3.6m
Lakini mkuu, kwa sheria yetu ya Bima, wewe ukishaiuza na ikafanyiwa Transfer huyo mnunuzi hawezi kuwa covered na hiyo bima, itatakiwa na yeye akate bima kwa jina lake sababu BIMA haihamishiki.
 
Lakini mkuu, kwa sheria yetu ya Bima, wewe ukishaiuza na ikafanyiwa Transfer huyo mnunuzi hawezi kuwa covered na hiyo bima, itatakiwa na yeye akate bima kwa jina lake sababu BIMA haihamishiki.
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…