Mkoko kisu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 757
- 803
ya kwangu sijarudsha nyuma mkuuDuuh kwan mpya bei gan ?
Izo kilometer sku izi zinarudishwa nyuma kwa elf 20 tu unapata iyo uduma kwaiyo kilometer sio ishu sana
Gar nzuri imenyoka hongera kwa ilo
Kwenye buti unawekaMeans haina sehemu ya kuweka tairi kwenye buti au hii ipoje?
Gari ni AWD, 2WD ?Ina seat ngapi?Gari ni yangu mwenyewe
Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000
Leather seat Safar automotive
New tyres
Km 75,000 - OG
Gari haina kasoro yoyote
Bei 34.5m
Call/watsap 0715140001
View attachment 2486783View attachment 2486784View attachment 2486788View attachment 2486789
2WD kaka pia ni 5 seatGari ni AWD, 2WD ?Ina seat ngapi?
Shida ya gari za Toyota ni bei ukilinganisha na gari europe, gari zinazofanana lakini bei zake ni rafiki sana kuliko hizi mjapan hasa Toyota