Nauza Toyota voltz 8.5m

Nauza Toyota voltz 8.5m

Mimi nakushauri ungelifanyia kwanza hiyo overhaul, then ungeliweka sasa sokoni. Kinyume na hapo, kubali tu kuliuza kwa hasara hata kama bado lina muonekano wa kuridhisha.
 
Back
Top Bottom