Wakuu habarini, nauza toyota voltz 8.5m, gari ipo in good condition, ina tatizo la engine inatakiwa kufanya overhaul.
Call/ whatsapp 0715477041 kwa taarifa zaida.
Mimi nakushauri ungelifanyia kwanza hiyo overhaul, then ungeliweka sasa sokoni. Kinyume na hapo, kubali tu kuliuza kwa hasara hata kama bado lina muonekano wa kuridhisha.