M miss personal cook Member Joined Apr 4, 2019 Posts 81 Reaction score 90 Sep 18, 2020 #1 Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi. Bei 10.3 maelewano yapo kidogo Mwaka 2004 Millage-99288 Cc 1790 Colour- black Inapatikana Dar es salaam anahitaji kuiona tuwasiliane kwa whatsapp 0785612112 Mnisamehe quality ya picha sio nzuri sana.
Habari wakuu nauza gari yangu nina emergency haina tatizo lolote wala haijawahi kurudiwa rangi. Bei 10.3 maelewano yapo kidogo Mwaka 2004 Millage-99288 Cc 1790 Colour- black Inapatikana Dar es salaam anahitaji kuiona tuwasiliane kwa whatsapp 0785612112 Mnisamehe quality ya picha sio nzuri sana.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Sep 18, 2020 #2 Mkuu.... Weka bei Sema unapatikana wapi Piga picha kwa nyuma na ndani Weka mawasikiano ili kufanya wepesi
Mkuu.... Weka bei Sema unapatikana wapi Piga picha kwa nyuma na ndani Weka mawasikiano ili kufanya wepesi
M miss personal cook Member Joined Apr 4, 2019 Posts 81 Reaction score 90 Sep 18, 2020 Thread starter #3 Ushimen said: Mkuu.... Weka bei Sema unapatikana wapi Piga picha kwa nyuma na ndani Weka mawasikiano ili kufanya wepesi Click to expand... Bei nimeweka boss
Ushimen said: Mkuu.... Weka bei Sema unapatikana wapi Piga picha kwa nyuma na ndani Weka mawasikiano ili kufanya wepesi Click to expand... Bei nimeweka boss
Y Yaleyale JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 1,793 Reaction score 2,401 Sep 18, 2020 #4 Naona umefuta namba ya usajili kwenye gari huku umeianika kwenye kadi ya gari🤷♂️🤷♂️
M miss personal cook Member Joined Apr 4, 2019 Posts 81 Reaction score 90 Sep 18, 2020 Thread starter #5 Yaleyale said: Naona umefuta namba ya usajili kwenye gari huku umeianika kwenye kadi ya gari[emoji2369][emoji2369] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]dah kupitiwa
Yaleyale said: Naona umefuta namba ya usajili kwenye gari huku umeianika kwenye kadi ya gari[emoji2369][emoji2369] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]dah kupitiwa
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 925 Reaction score 1,306 Jun 9, 2021 #6 Bado ipo?