INAUZWA Nauza Transfer ya V8 (land cruiser ) used

Mzawa_G

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
669
Reaction score
1,475
Ni nzima kabisa inapiga kazi fresh kbsa
Huduma ya kukufungia ni bure kwa atakaehitaji
Nipo Dodoma mjini ila popote ulipo naweza kukufikia
Location: Dodoma
Bei : 3 Millions
Phone number: 0625803444

Ukiskia mafundi wanaiba vifaa,ndio kama hawa Natolea mfano tu.
Wewe sio mwizi Mkuu wangu,hio ni mali yako halali uliyoichomoa kwny v8 lako.
Umekula kwel mchana ? Mana unachokiongea ni akili za njaa
 
Ukiskia mafundi wanaiba vifaa,ndio kama hawa Natolea mfano tu.
Wewe sio mwizi Mkuu wangu,hio ni mali yako halali uliyoichomoa kwny v8 lako.
Kabla ya kuropoka iko unachokifikiria tumia kwanza muda wako kuchunguza kile unachotaka kukiongea mana hujui mm nan na iko kitu nmekitoa wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…