zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Ibebe mkuu,Hiyo TV nzuri sana unajipanga na lock down au sio?
Nzuri sana ila sasa nimefulia mbaya. Ila nitakuulizia kwa wana kitaa kama kuna mtu anahitaji nitakuchekiIbebe mkuu,
Hapana mkuu,panda panda
Sawa mkuu,shukraniNzuri sana ila sasa nimefulia mbaya. Ila nitakuulizia kwa wana kitaa kama kuna mtu anahitaji nitakucheki