TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

Nami nimeshangaa yani inchi 65 anauza bei yote hiyo afu anasema bei ya store mbona anatuchanganya raia
Boss hapo nchi 65 nimeweka bei gan au mnaharbu brand ya mtu
Mungu akitaka wateja watakuja tuh maana mm sio mgeni jamii forum
 
Nataka freezer je yapo Yale yanakuwa Na portion mbili ndani
 
Kitu cha mkononi kwa nini ninunue kwa bei ya store ?

Tunauziana barabarani nje ya nyumba yangu, unaniacha na nini, namba za gari ya kirikuu iliyoleta mzigo ??

Na kwa nini nilete mijitu siijui ije ku drop TV nyumbani kwangu, Ili usiku wairudie ????

Yani nina advantage gani kukutumia wewe ? Rudi kasome biashara.
 
Barikiwa sana huko uliko
 
vitu Vya electronics vimejaa ujanja ujanja!
Natafuta software ya kubadili majina ya TVs.
Supa bomboka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…