yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Sio mbaya mkuu. Tuwasiliane.
Hiyo ya Boss haijaharibika kioo. Ni taa tuKioo ndio tv yenyewe...bei ya kioo inakaribiana na Tv mpya
Njoo pmTV bado zipo
Nshakujibu bossNjoo pm
Na kweli nisingekuwa na shida ya hela ningemgawia mtu akawa ananiombea dua njema.Nigawiepo basi hata moja
Mtihani huo mja,Hizo dua zinaweza zikakufanya upate hela zaidiNa kweli nisingekuwa na shida ya hela ningemgawia mtu akawa ananiombea dua njema.