EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,100 Feb 8, 2024 #1 Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii. Brand: LG LED TV Size: 43inch Price: Tzs 350,000 Inafanya kazi vizuri sana with super clear pictures na saiti ya kutosha. Location: Dar ES salaam Contact: 0784977269 Karibuni
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii. Brand: LG LED TV Size: 43inch Price: Tzs 350,000 Inafanya kazi vizuri sana with super clear pictures na saiti ya kutosha. Location: Dar ES salaam Contact: 0784977269 Karibuni
Mtani wa Taifa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 953 Reaction score 3,318 Feb 8, 2024 #2 250k ipo chap
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,100 Feb 8, 2024 Thread starter #3 Mtani wa Taifa said: 250k ipo chap Click to expand... Dah hapana mkuu ongeza kidogo
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,254 Reaction score 2,519 Feb 8, 2024 #4 Nikupe 200k
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,100 Feb 8, 2024 Thread starter #5 Hapana mkuu ongeza kidogo
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Feb 8, 2024 #6 150000 natuma na yakutolea
Frank Hood JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 597 Reaction score 1,374 Feb 8, 2024 #7 250k nije nichukue
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Feb 8, 2024 #8 Mtu chake
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Feb 8, 2024 #9 Ipo Dar sehemu gani
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,100 Feb 9, 2024 Thread starter #10 kawombe said: Ipo Dar sehemu gani Click to expand... Kimara
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Feb 9, 2024 #11 EJM_ said: Kimara Click to expand... Oh okay sawa. Naomba nilipie 270000. Ili nipambane n usafiri wa kuichukua.
EJM_ said: Kimara Click to expand... Oh okay sawa. Naomba nilipie 270000. Ili nipambane n usafiri wa kuichukua.