TV4Sale Nauza TV Panasonic nchi 19 na Deki

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,599
Reaction score
2,192
Full package kwa Elf 70 tu TV panasonic nchi 19, Dek Sing Sung na Frash GB8 Og vinauzwa bei ya kutupa.

Vipo Mbeya Iyunga 0623935516 maongezi yapo kidogo!

KARIBUN WAKUU.


 
Nchi 19 ni zipi na zipi?

Tanzania nayo imo?

Full package kwa Elf 70 tu TV panasonic nchi 19, Dek Sing Sung na Frash GB8 Og vinauzwa bei ya kutupa.

Vipo Mbeya Iyunga 0623935516 maongezi yapo kidogo!

KARIBUN WAKUU.


 
chukua tsh 20,000.
TV yenyewe inashika nchi chache sana 19 tu. na hapo utakuta ni za huku east africa na baadhi chache za kusini au centre africa. ni ya kutupa tu. halafu dunia ya leo Unanunua deck ufanyie nini? kufugia mende?
 
We chiz sio kosa lako kwanza uwenda baba ako ajawai ata kumlik Acha shobo kwenye bishara za wanaume utatanuliwa makalio
mi nakueleza ukweli hakuna wa kununua deck kwa sasa ya nini? na litv kama hilo ni uchafu halina kazi. ulipaswa useme unagawa huo uchafu na pesa ya mtu kukubali kuuchukua tsh 20,000.
 
ok. basi tsh 15,000 kama unaona 20,000 nimekutajia nyingi sana. maana hapo mtu ananunua taka tu akatupe nyumbani kwake. mi sioni kazi ya hayo madude kwa sasa.
Kuwa na adabu na utu japo naye hana adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…