Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Nadhani zitakuwa tv flani za Singsung zilitoka miaka ya 2010, ukiangalia kwa mbele ni kama flat ila ina chogo ndogo nyumaTV Flat ya chogo ndio ipoje?
Evolution of TV nazikumbuka hizo, hao watoto wa juzi hawawezi kuzijuaNadhani zitakuwa tv flani za Singsung zilitoka miaka ya 2010, ukiangalia kwa mbele ni kama flat ila ina chogo ndogo nyuma