TV4Sale Nauza TV TCL 43"

TV4Sale Nauza TV TCL 43"

one republic

Member
Joined
Jul 1, 2021
Posts
79
Reaction score
135
Habari wakuu

kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nauza TV aina TCL inchi 43

bei Tshs 600,000 mwenye uhitaji anicheki kwenye namba hii 0628751656 mimi nipo Sinon Mashineni Arusha
 
Habari wakuu

kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nauza TV aina TCL inchi 43

bei Tshs 600,000 mwenye uhitaji anicheki kwenye namba hii 0628751656 mimi nipo Sinon Mashineni Arusha
Katika biashara hasa vitu kama TV, lazima uelezee technology iliyo tumika kwayo kama vile ni smart au la, ni Lcd, Led au Qled nk nk. Na ni lazima utaje umri wake. Ki ufupi specification ni muhimu uzitaje na sababu kwa nini unaiuza. Fanya hivyo uone reaction ya watu. Good luck
 
Back
Top Bottom