Katika biashara hasa vitu kama TV, lazima uelezee technology iliyo tumika kwayo kama vile ni smart au la, ni Lcd, Led au Qled nk nk. Na ni lazima utaje umri wake. Ki ufupi specification ni muhimu uzitaje na sababu kwa nini unaiuza. Fanya hivyo uone reaction ya watu. Good luck