TV4Sale Nauza TV za mtumba

TV4Sale Nauza TV za mtumba

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba.

Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na mengineyo, hivyo nakukaribisha mdau wangu unaependelea vitu hivi.

Hiz TV huanzia ukubwa wa nch 42, 55 na lakini kwa sasa nimeanzia na 42 hivyo 55 zipo njiani.
Pamoja na hayo TV zetu zina support kama:_

USB kuanzia port2

HDMI1 hadi port3

VGA, antenna nk.
IMG-20230806-WA0010.jpg
 
sitaki mambo mengi bei ipo wazi 380,000
IMG_20230804_230253.jpg
 
Hizo inchi 55 zikija bei itakuwa sh.ngapi.?
 
lg hilo 42 nipigie 0715 378899
IMG-20230806-WA0009.jpg
 
HITACH limejaa tele kwa kiasi cha 380,000
IMG_20230805_084826.jpg
 
@prince mrisho com bei umeongeza kubwa sana kutoka inchi 42 Hadi 55

At least ungesema hata 700k.
shukran kwa maoni mzigo haujafika huo wa 55 ngoja utue tuone
 
picha ya mbali 0715 378899
IMG_20230804_225657.jpg
 

Attachments

  • IMG_20230804_231925.jpg
    IMG_20230804_231925.jpg
    15.8 KB · Views: 7
muonekano wa mbele wa HITACH
IMG_20230805_084211.jpg
 
mzigo upo japo wengi wanataka nch 65,ila tutalifanyia kaz tupigie 0715 378899 kariakoo na Yombo kilakala
 
Back
Top Bottom