Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 #1 Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba. Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na mengineyo, hivyo nakukaribisha mdau wangu unaependelea vitu hivi. Hiz TV huanzia ukubwa wa nch 42, 55 na lakini kwa sasa nimeanzia na 42 hivyo 55 zipo njiani. Pamoja na hayo TV zetu zina support kama:_ USB kuanzia port2 HDMI1 hadi port3 VGA, antenna nk.
Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba. Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na mengineyo, hivyo nakukaribisha mdau wangu unaependelea vitu hivi. Hiz TV huanzia ukubwa wa nch 42, 55 na lakini kwa sasa nimeanzia na 42 hivyo 55 zipo njiani. Pamoja na hayo TV zetu zina support kama:_ USB kuanzia port2 HDMI1 hadi port3 VGA, antenna nk.
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Aug 6, 2023 #2 Andika na Bei kabisa
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #3 muonekano zaidi wa mbele
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #4 HITACH bei 380,000
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #5 sitaki mambo mengi bei ipo wazi 380,000
je parle JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2,022 Reaction score 3,919 Aug 6, 2023 #6 Hizo inchi 55 zikija bei itakuwa sh.ngapi.?
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #7 je parle said: Hizo inchi 55 zikija bei itakuwa sh.ngapi.? Click to expand... 900,000 tu
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #8 lg hilo 42 nipigie 0715 378899
je parle JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 2,022 Reaction score 3,919 Aug 6, 2023 #9 prince mrisho com said: 900,000 tu Click to expand... @prince mrisho com bei umeongeza kubwa sana kutoka inchi 42 Hadi 55 At least ungesema hata 700k.
prince mrisho com said: 900,000 tu Click to expand... @prince mrisho com bei umeongeza kubwa sana kutoka inchi 42 Hadi 55 At least ungesema hata 700k.
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #10 HITACH limejaa tele kwa kiasi cha 380,000
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #11 je parle said: @prince mrisho com bei umeongeza kubwa sana kutoka inchi 42 Hadi 55 At least ungesema hata 700k. Click to expand... shukran kwa maoni mzigo haujafika huo wa 55 ngoja utue tuone
je parle said: @prince mrisho com bei umeongeza kubwa sana kutoka inchi 42 Hadi 55 At least ungesema hata 700k. Click to expand... shukran kwa maoni mzigo haujafika huo wa 55 ngoja utue tuone
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #12 philips hiyo
abnormal JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 541 Reaction score 1,319 Aug 6, 2023 #13 Hongera prince mrisho com
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #14 Karibuni sana
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #15 picha ya mbali 0715 378899 Attachments IMG_20230804_231925.jpg 15.8 KB · Views: 7
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Aug 6, 2023 #16 Display inaweza kugawanywa?
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 6, 2023 Thread starter #17 ofisa said: Display inaweza kugawanywa? Click to expand... hapana
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 8, 2023 Thread starter #18 muonekano wa mbele wa HITACH
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 12, 2023 Thread starter #19 mzigo upo japo wengi wanataka nch 65,ila tutalifanyia kaz tupigie 0715 378899 kariakoo na Yombo kilakala
mzigo upo japo wengi wanataka nch 65,ila tutalifanyia kaz tupigie 0715 378899 kariakoo na Yombo kilakala
Uhuru24 JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 4,112 Reaction score 4,361 Aug 29, 2023 Thread starter #20 pasi za kuchaji pia zipo