Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Rafiki yangu alikuwa anahitaji ila kasema hizo kubwa
Anahitaji 185/70R14 au pengine 195/60R15
Rim nzuri ila mtonyo hakuna[emoji28]
Sasa mkuu ukiuza tyres mjini tunaendaje[emoji14]
Ungetaja bei bsi
Kuna dogo jirani anapenda kuendesha matairi ningemchukulia ila size ni kubwa hiyo