Mkuu naona umeamua kwenda Australia kila la kheri mkuu...Wakuu salama, nimebanwa katika mihangaiko ya kutafuta pesa imebid niuze asset zangu ikiwo kiwanja. Urefu mita 30, upana mita30.
Nilishaweka trip 6 mchanga, trip 11mawe lakini naona niende ulaya kwanza nitajenga nikirudi.
Kiwanja kiko mita chache toka barabRa ya Buswelu-Kahama, next to me ni uwanja wa mh Mbunge Angelina Mabula. Kimepimwa, bei ni pomoja na matarials, karibu nikakuoneshe
Eneo ni karibu na amenities zote
Kwa mawasiliano 0756 984898
SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only. Kiwanja ni cha kwangu 100% hakuna dalali wala dalalu
Weka document za kiwanja chako hapa jukwaani ili tujirizishe Kabla ya kufanya mununuzi mkuu.“SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only.” No negotiations allowed!!! [emoji54] What kinda business offer is that, but anyways provided you have receipts for all the purchases made to back your stand
Wakuu salama, nimebanwa katika mihangaiko ya kutafuta pesa imebid niuze asset zangu ikiwo kiwanja. Urefu mita 30, upana mita30.
Nilishaweka trip 6 mchanga, trip 11mawe lakini naona niende ulaya kwanza nitajenga nikirudi.
Kiwanja kiko mita chache toka barabRa ya Buswelu-Kahama, next to me ni uwanja wa mh Mbunge Angelina Mabula. Kimepimwa, bei ni pomoja na matarials, karibu nikakuoneshe
Eneo ni karibu na amenities zote
Kwa mawasiliano 0756 984898
SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only. Kiwanja ni cha kwangu 100% hakuna dalali wala dalalu
Mkuu nina 4.5M
“SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only.” No negotiations allowed!!! [emoji54] What kinda business offer is that, but anyways provided you have receipts for all the purchases made to back your stand
Hii ni fursa kwa wenye uwezo kwa kweli
Mkuu naona umeamua kwenda Australia kila la kheri mkuu...
Fanya utulivu na ongeza umakini kwenye kusoma na kuchangia kwako hoja, hasa linapokuja suala la kumnukuu mjibiwa. Sasa huyo ndie aliyesema anauza kiwanja mpaka umuombe hizo "documents"?Weka document za kiwanja chako hapa jukwaani ili tujirizishe Kabla ya kufanya mununuzi mkuu.
Kuuza kiwanja halafu unakwenda ulaya kutafuta maisha[emoji848] ni sawa na kuuza nyumba halafu unaomba kazi ya ulinzi kwa uliyemuuzia hiyo nyumba[emoji12]
Hahah nmpenda msemo wa sofaachana na wehu waoga wa maisha, uza fanya mambo yako ya msing kwa sasa, yan bongo mtu akisema anauza nyumb au kiwanja anaonekana waa jabu kweli? huu wote n uwoga mtu haamin kbsa kama migodi yake baadae inaweza ikatema akapata pesa akanunua kingne bora zaid ya alichouza na kwa mawazo hayo mtaendelea kula za uso mpk akili zikae sawa, watu mnakua kama babu zetu, unamnunulia sofa anataka zikae zote na visofa vya miaka ya 70s et kisa vimemtoa mbali. 90% Ya umaskin n wakujitakia