Nauza vanila

Auson frank

New Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Naitwa Auson frank ni mkulima wa zao la vanilla ambalo tunafanyia kilimo mkoa wa Bukoba-Kagera ambapo tunazalisha zaidi ya tani 5 ya vanilla.

Kwa Dar es salaam tunapatikana magomeni kagera kwa atakae hitaji kuona sample ya mzigo maana mzigo upo godown bukoba atafika Magomeni Kagera na atawasiliana na sisi kupitia namba 0788988210 au 0677686957.

Vanilla tunauza kwa kila kilo kwaiyo bei yetu kwa kilo moja ya vanilla ni Tshs160,000/= . Nimeweka picha za sample za vanilla hapo chini lkn kwa maelezo zaidi naomba tuwasiliane.

 
Sorry kwa tusiojua iv vannila hutumika kutengenezea nn au nn matumizi yake
 
Sorry kwa tusiojua iv vannila hutumika kutengenezea nn au nn matumizi yake
Sawa ! Vanilla inatumika hasahasa kwenye kuongeza radhha katika vitu mbali mbali kama vile cake , ice cream inaongeza radha hayo ni matumizi ambayo ni yakawaida kwenye coffee sehem tofauti tofauti
 
Nahitaji kidogo, Ila baadae ntahitaji kg 1 kuna mtu anatumiwa nje as sample pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…