Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Hiki chombo hakijapata mnunuzi hadi leo??
Acha dharau kwenye mali za watuMkuu,Verossa hata ingekuwa laki nane (800,000/=) kwa mtu anayeelewa nini maana ya gari hawezi kuchukua na ndio maana mpaka leo halijapata mteja kama unavyoshangaa, kwani aina hii ya gari ni jamii ya brevis ukinunua umeliwa.Eti anatakiwa mteja serious,labda wa kishimundu na mambaby huwa wako serious.Lakini mjanja wa magari hawezi kuwa serious hata kidogo.
Fyatua screpa hilo ili upate chuma chakavu uvute mpunga wa kufa mtu ili ule bata vijiweni.