mwana wa aliye juu
Member
- Oct 9, 2020
- 10
- 7
karibu nduguSafii
Ukitokea Kibo kama unakuja Corner, ingia kulia barabara ya kwanza, tupo kwenye huu mtaa. Karibu sana, mawasiliano 0759891571Viatu vizuri, bei nzuri... Msewe sehem gani hapo
zimebaki pieces 200 karibu sanaUnavyo jumla pair ngapi saiv?
Asante nitakaribiaUkitokea Kibo kama unakuja Corner, ingia kulia barabara ya kwanza, tupo kwenye huu mtaa. Karibu sana, mawasiliano 0759891571
Karibu nduguVizur Bei nafuu.
Asante, ila Sipo dar nipo mkoani.Karibu ndugu
Ikiwa una mtu aliyepo Dar unaweza mtuma aje kuchukua then akutumie. Au ikiwa utaniamini naweza kukutumia hata mkoani kwa bus.Asante, ila Sipo dar nipo mkoani.