Kayera s New Member Joined Dec 23, 2016 Posts 4 Reaction score 7 Jun 27, 2024 #1 Zara OG sinaga kazi mbovu 40000. Karibu sana, ni ngumu mno hivi viatu na ni fashionable ndio habari ya mjini kwa sasa. Size zilizopo ni 37, 38, 39, 40 41 na 42 No za order ni 0712163738. TUPO DAR ES SALAAM. Attachments VID-20240626-WA0084.mp4 8.8 MB
Zara OG sinaga kazi mbovu 40000. Karibu sana, ni ngumu mno hivi viatu na ni fashionable ndio habari ya mjini kwa sasa. Size zilizopo ni 37, 38, 39, 40 41 na 42 No za order ni 0712163738. TUPO DAR ES SALAAM.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jun 27, 2024 #2 Kama unasema "ngumu sana" si zitaumiza watu miguu? vatu bora ni vile laini sana.
Mzee Kimamingo JF-Expert Member Joined Mar 31, 2024 Posts 1,861 Reaction score 4,462 Jun 27, 2024 #3 Og alafu ni 40k...Ushaona wapi kiatu Og kikauzwa 40k
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 Jun 27, 2024 #4 Kama huo mguu ni wako,naenda SASA hivi kutengeneza picha bafuni. Mwenyewe sinaga KAZI mbovu.