djchilipo
Member
- Feb 8, 2014
- 5
- 6
KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..?
Sikiliza ndugu, PRESSURE WASHER MPYA ni KUANZIA 650,000 TU, Hiyo ni ya Petrol Na inakua Complete.. za UMEME ni kuanzia 300,000 tu) .. Mnunulie kijana wako/ndugu/ au wewe mwenyewe tu, Ufungue Kijiwe Cha CARWASH Kidogo tu (Kusema ni kwa Tusio na Mitaji mikubwa)
-Kwa Kuanza haihitaji uwekezaji mkubwa, 1-Ni Space tu ya Kuoshea,Ambayo umeme Unifika / Au kama ni machine ya petrol basi sehem yoyote ya wazi, Tunayokadiria utalipia 30,000 per month..
2-Tafuta Tank la lita 100 (Makadirio ni Tsh 100,000) ..
3- Chanzo cha Maji,Ni Sehem iliyo karibu yenye Maji, Mfano Bar/Makazi n.k (Hapa unawa promise kuchangia 5,000 ya maji kwa Mwezi 1) / Then Boom..
#Ni kabiashara kadogo kwa mwanzo, ila Tuangalie Makadirio ya Mapato..
-Kuosha Gari ni 5,000 mpaka 30,000 kwa Gari Moja..
- Pikipiki ni 2,000 au 3,000 kwa 1..
- Mazulia ni 10,000 mpaka 15,000 kwa 1 ..
Sasa Kwa siku Moja kwa Mzunguko mdogo kabisa, unaweza kukadiria utaosha Bodaboda ngapi.? Au Gari.? / Vipi kwa Wiki Moja.? Basi kwa Mwezi mmoja Je.? / Alafu Minus gharama za Uendeshaji wote kwa Mwezi..
Hauja tengeneza atleast 300,000 au 250,000.?
NOW, Kuna Wadada wapambanaji mtaani, Unakamata mmoja, Unampa mtaji wa 15,000, Pembeni ya Kijiwe Chako cha Carwash, Aweke Ka biashara ka Chapati, Supu na Maharage flani, Nazi Nyingii.. ( Hapo na Meza moja ya mwamvuli na Viti).. Kama hukuwahi kujua namna Bodaboda wanaitana,Utajua hapa.
Ni asubuhi wataamkia hapo kuosha Chombo,Huku anapata Breakfast, Na ile Jioni jioni vivyo hivyo.. - Hii tunaita Kujiongeza.
- Mwingine sasa kaajiriwa, Analipwa 300,000 Tu,tena Tarehe 38 😅 ' Unaishia kulia lia MSHAHARA hautoshi.. Kwenu hamna wale madogo wamemaliza La saba Bi' wanazurura mtaani.? Umpe hii afanye kazi akuletee hesabu?
ANYWAY, Huenda Miujiza inatokeaga kweli, Tuendelee Kusubiri itokee.
My Point sasa
KWA WALE wasio hitaji kusubiri Miujiza, TUWASILIANE KWA 0762972346, Tukuuzie Mashine za Carwash,BRAND NEW Ukafanye Kazi.. Mashine za Umeme ni 300,000 / 450,000 / 650,000 / 850,000 na kuendelea.. Za Petrol ambazo ni Nzuri ni 650,000 / 750,000.
Sisi Tupo Kariakoo mtaa wa Lindi na Swahili.. (DELIVERY KWA DSM NI FREE, Unalipia ukipokea ) Mikoani Tunakutumia pia,Ila utatakiwa kulipia Kwanza kwa BANK ACC Yetu. AU utuunganishe na Transporters wako wa hapa Dar,Tuwakabidhi, Wakutaarifu ndipo Ulipie /Ukiwa na Ndugu wa kutuunganisha tumuelekeze dukani afike, ni Njema zaidi Pia.
- Ni hayo tu.. Nakiribisha Kukosolewa Pia..