Mi ndo mmiliki mwenyeweUkweli niliwahi kuuza chips Banana lakini nilikuwa dei waka, ila kama nitashawishika na kupata eneo zuri naweza kurudi tena. Sasa wewe ni Mmiliki au ndio ulikuwa ndio mtendaji hapo?
Nataka kabati jiko na viti bei gani?Nauza jiko kubwa LA chips,karai,jiko mishikaki,kabati unaweza tumia kwaajili ya chips au vitanwa,meza ,viti.vitu vyote vinapatikana gongolamboto kwa diwani.mawasiliano 0656984940View attachment 1072664View attachment 1072665
Sent using Jamii Forums mobile app