Nauza vifaa vya chips

Yejmaz20

Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
23
Reaction score
24
Wana JF nauza hivo Vifaa;
-Kabati kubwa ngazi tatu
-Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa
-Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida
-Jiko la mishikaki
-Meza ya kuweka Kabati
-Makalai mawili ya viazi na kuku
- Flampeni 2
-Vyombo na vifaa vingine kama Taa kubwa
Bei 380K vyote.....
Eneo lipo Kimara Korogwe njia ya kwenda Majichumvi sehemu inaitwa Zebra Pub vijana pia wa kazi wapo
Kama utahitaji nicheki inbox 0717118644View attachment IMG_20230610_124006_251.jpg
 

Attachments

Sababu za kuuza?
 
Picha
 
Pamoja na kwamba haujaweka picha, lakini naomba nikupongeze kwa kujitahidi sana kuweka tangazo lako walau kila swali limejibiwa kwenye tangazo.
Hongera sana, lakini mimi sio mnujuaji maana nipo huku Ibologelo ndanindani.....
 
Hivi zero IQ ameacha kuchakata pisi skuiz ?, mbona simuoni akianzinsha nyuzi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo biashara na kuonja onja kila muda! kuhonga wanafunzi na wahudumu wa bar! Haviendani hata kidogo. πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…