Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,,
Nauza vifaa vya maabara ya binadamu
vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center)
Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa.
Vifaa vilivyopo
1. Haemoglobin Tester
2. Microscope
3. Urine analyzer Machine
4. Centrifuge
5. sterilizer Microwave
6. Bath tube
7. Blood sugar Tester
Vifaa vipo Arusha.
Bei ni 3.5 Million
Kwa mawasiliano zaidi njoo DM