Nauza vifaa vya saloon ya kike 600000

Black Coffee

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
1,937
Reaction score
3,202
Nauza vifaa vya salon ya kike vifaa vyangu ni original na havijatumika muda mrefu draya 2 na blow dryer location ni arusha mjini ,maongezi yapo Karibuni
 
Awamu hii fashion ni kunyoa tu wateja wa salon mwisho kwa jakaya, kwa magu ni mwendo wa viparaa[emoji2]
Wapo mkuu sana tuu lakini biashara ya salon inahitaji usimamizi ulio tukuka ,,tofauti utaishia kuibiwa hutaona hela ile uliotakiwa kuona! Nauza niongezee kwenye kitu kingine mambo yaende kuliko kuwa na biashara nisio ona faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…