Hizi bidhaa ni mpya kabisa mkuu hazijawahi tumika hata siku 1........hizo bei zako, mbona ni sawa na kununua kipya tu wahindi pale kkoo..!
Ukiamua kuuza, lazima ukubali hasara, punguza bei. Then njoo inbox tumalize kazi
Hii picha ya kiti halisi au picha ya mtandaoni?