Ally MO98 Member Joined Mar 23, 2021 Posts 19 Reaction score 22 Mar 28, 2022 #1 Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281 *Machine *Kiti *Vioo kidogo viwili *Kipo kikubwa kimoja JUMLA NAUZA Tsh 450,000/=
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281 *Machine *Kiti *Vioo kidogo viwili *Kipo kikubwa kimoja JUMLA NAUZA Tsh 450,000/=
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Mar 28, 2022 #2 toa sadaka, Mpe mtu atafutie ridhiki
Ally MO98 Member Joined Mar 23, 2021 Posts 19 Reaction score 22 Mar 28, 2022 Thread starter #3 ukikaidi utapigwa2 said: toa sadaka, Mpe mtu atafutie ridhiki Click to expand... Na viuza kaka
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Mar 28, 2022 #4 Ally MO98 said: Na viuza kaka Click to expand... Si umepata mchongo mwingine mpe kijana mwenzako atafte mkate wake
Ally MO98 said: Na viuza kaka Click to expand... Si umepata mchongo mwingine mpe kijana mwenzako atafte mkate wake
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Mar 29, 2022 #5 Bado vipo?
Bepari la Kinyambo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 852 Reaction score 1,081 Mar 30, 2022 #6 Una risiti siyo za wizi