NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

Joined
Feb 13, 2024
Posts
80
Reaction score
204
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana

Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu.

Soft box mbili, miavuli minne na reflector

Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa vya background vina flame zake

bei ni sh 350000
Dar es salam
Mawasiliano ni 0617009453
 
Attachments

  • Screenshot_20250117-191722.png
    Screenshot_20250117-191722.png
    1.1 MB · Views: 3
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana

Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu.

Soft box mbili, miavuli minne na reflector

Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa vya background vina flame zake

bei ni sh 350000
Dar es salam
Mawasiliano ni 0617009453
Apa kama bei gani iandaliwe vijana tupate ajira
 
Back
Top Bottom