Habar zenu ndug wana Jamii forum kama mada inavyojieleza hapo juu mimi kijana mjasiliamali ninaye jiusisha huduma uuzaji wa vifalanga vya kuku wa kienyeji na chotara wa mwezi mmoja na vilivyo na chanjo pia ninatoa mafunzo kwenye vikundi,taasis,mtu binafsi juu ya ufugaji kibiashara hasa hivyo mnaweza nialika.napatikana mkoa wa mwanza Mawasiliano what'sapp &call 0694103055 KP FARM
MIFUGO NI AJIRA