Nauza vifaranga vya Malawi na vya kienyeji

Barca

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
1,448
Reaction score
1,624
habari za mida wanajamvi. Mimi Ni mjasiliamali nipo songea nauza Vifaranga vya kienyeji na chotara vya Malawi. bei zetu Ni nafuu sana tunapokea oda kutoka mahali popote ambapo usafiri wa kutoka songea Ni siku moja. usafiri Ni bure kabisa. hivi Ni vizuri hasa kwa wafugaji wa Kuku wa kienyeji kwaajili ya nyama. pia ukitaka kufuga wa Mayai wanataga sana na majogoo Ni makubwa sana. nyote mnakaribishwa. Naweza supply hadi Vifaranga 1000 kwa Mara moja. pia kama unahitaji incubator zinapatikana zenye uwezo wa kubeba Mayai 1000 kwa Mara moja. kwa mawasiliano zaidi quote hii thread au piga simu 0767865531.
 
weka na bei kabisa rafiki,

bei ni 2500/= kwa kifaranga
 
boss 2,500 si ndio bei ya kawaida? tupe hiyo ya nafuu sana. Pia unapatikana wapi? vifaranga 100 naweza pata?
 
mkuu bado unaendele na hiyo biashara ya vifaranga? ni PM maana nahitaji vifaranga kama 100 hivi. Discount vipi? mie niko Dar je usafiri ni pamoja na hiyo bei ya 2500?
 
Back
Top Bottom