Nauza vifaranga vya Samaki(fish fingerlings)

Hivi kumbe na watoto wa samaki nao wanaitwa vifaranga? Duh!!
Nafikiri wanaitwa viluilui ndiyo. Sahihi
 
Kambale ana shombo kal sana bt mkuu mbegu ya sangala iv ipo
 
Nauza Kambale wenye uzito kuanzia kg moja mpaka kg mbili.bei kwa jumla 5000 kwa kg.napatikana kibaha.mawasiliano zaidi pm ntakupatia namba.karibuni
 
Nauza Kambale wenye uzito kuanzia kg moja mpaka kg mbili.bei kwa jumla 5000 kwa kg.napatikana kibaha.mawasiliano zaidi pm ntakupatia namba.karibuni
Ndugu unalenga kufanya biashara kweli? Weka taarifa zote zinazotakiwa kwenye tangazo ikiwemo namba ya simu au wewe unafikiri ukishaweka bei umemaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…