uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
- Thread starter
-
- #61
Namba ya simu sio ya kuanika public maana sina ya ofisi ndo maana nikasema mwenye nia akinipm ntampatia mkuuNdugu unalenga kufanya biashara kweli? Weka taarifa zote zinazotakiwa kwenye tangazo ikiwemo namba ya simu au wewe unafikiri ukishaweka bei umemaliza?
Halafu hao kambale hawapendi kuishi kwenye maji masafi, wanapenda kwenye matope matope halafu angalau kuwe na "uchafu uchafu" ndio wanaenjoy, hahahahahahahahsijui kwa nini siwezi kumla kambale ? naona kama linyoka lifupi samahani mfanya biashara
me wamenishinda kabisaHalafu hao kambale hawapendi kuishi kwenye maji masafi, wanapenda kwenye matope matope halafu angalau kuwe na "uchafu uchafu" ndio wanaenjoy, hahahahahahahah
Mbona unaogopa kuweka namba mkuu? Wewe ni mzee wa matukio nini?Namba ya simu sio ya kuanika public maana sina ya ofisi ndo maana nikasema mwenye nia akinipm ntampatia mkuu
Hawa nawafugia kwenye bwHalafu hao kambale hawapendi kuishi kwenye maji masafi, wanapenda kwenye matope matope halafu angalau kuwe na "uchafu uchafu" ndio wanaenjoy, hahahahahahahah
bwawa la kisasa maji masafi kabisa .unakosa utamu aiseeHalafu hao kambale hawapendi kuishi kwenye maji masafi, wanapenda kwenye matope matope halafu angalau kuwe na "uchafu uchafu" ndio wanaenjoy, hahahahahahahah
it's my privacy.nimeweka jina ambalo sio langu ili niwe huru zaidi.kuweka namba ya simu sasa itakua haina maana.unapoteza muda mwingi kwa yasikua na maana kama ni mnunuaji serious ungekuta umeshakuja pm.Mbona unaogopa kuweka namba mkuu? Wewe ni mzee wa matukio nini?
Ntakutengenezea siku moja vizuri utawala tu kila siku utanunua hahame wamenishinda kabisa
Nunua line kwa ajili ya biashara kama upo seriousNamba ya simu sio ya kuanika public maana sina ya ofisi ndo maana nikasema mwenye nia akinipm ntampatia mkuu
ila usiniwekee kichwaNtakutengenezea siku moja vizuri utawala tu kila siku utanunua haha
Sawa.asante kwa ushauri.nafanyia kazi muda huu.soon ntakua nayoNunua line kwa ajili ya biashara kama upo serious
unaogopa zile ndevu.ntakitoa kbsa upate sehemu ya mkia safi kabisaila usiniwekee kichwa
sawa mkuu nikipita nitakutafutaunaogopa zile ndevu.ntakitoa kbsa upate sehemu ya mkia safi kabisa
Ulikua unafurahia mtelezo ule.anateleza mpaka kooni.niletee wateja wa mtaani kwenu.nimecheza sana na kambale utotoni...ilikuwa very funny...
Karibu sana Mkuu.na sato pia waposawa mkuu nikipita nitakutafuta
asante mkuuKaribu sana Mkuu.na sato pia wapo
haahaaahaa.weee..nlikkuwa nawavua wakiwa hai then nawaeka kwenye beseni.naanza kama ntaweza kukamata mkononi lakini wapi..wanavoniteleza na kuruka ndo furaha yangu..ikawa hobby.Ulikua unafurahia mtelezo ule.anateleza mpaka kooni.niletee wateja wa mtaani kwenu.
Manyoka mafupi yenye vichwa yapo mengi tu.sijui kwa nini siwezi kumla kambale ? naona kama linyoka lifupi samahani mfanya biashara
kambale anafugwa hata chooni simpendi kama nini?sijui kwa nini siwezi kumla kambale ? naona kama linyoka lifupi samahani mfanya biashara
ha hahah umanifanya nicheke kwa sauti sawa mkuuManyoka mafupi yenye vichwa yapo mengi tu.
Tofauti kambale lina mandevu.