mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
wacha kuharibu lugha hakuna vifaranga vya samaki!Pata mbegu nzuri ya sato na Kambale .sato bei 250.Kambale 450..pia Samaki wakubwa Kambale nauza.napatikana kibaha.Kwa namba za simu pm tuwasiliane
Okeywacha kuharibu lugha hakuna vifaranga vya samaki!
Ndio Mkuu maeneo yapo ya kutosha.karibu utembelee ujifunze mengi pia kuhusu ufugwaji wakenataka kuingia kwenye uwo ujasiliamali vipi naweza pata eneo la kufugia maeneo ya hapo kibaha mkuu?
nikitaka kuja nitakujulisha vipi kuhusu upatikanaji wa maji katika eneo husika mkuu?Ndio Mkuu maeneo yapo ya kutosha.karibu utembelee ujifunze mengi pia kuhusu ufugwaji wake
Naomba namba nikucheckPata mbegu nzuri ya sato na Kambale .sato bei 250.Kambale 450..pia Samaki wakubwa Kambale nauza.napatikana kibaha.Kwa namba za simu pm tuwasiliane
Tayari nikutumia pm mkuuNaomba namba nikucheck
Basi poa mkuuPata mbegu nzuri ya sato na Kambale .sato bei 250.Kambale 450..pia Samaki wakubwa Kambale nauza.napatikana kibaha.Kwa namba za simu pm tuwasiliane
Karibu mkuu
Kwa hyo wanaitwaje mkuu km sio vifaranga?! Au ndama wa samaki?!wacha kuharibu lugha hakuna vifaranga vya samaki!
Weka namba yako nikutafuteUpo kibaha ipi? maili moja,mlandizi,lupunga ama?
Je kama nitahitaji kukutembelea kwa kujionea na kujifunza nakupataje weka mawasiliano yako mkuu siyo mpaka tukufaate pm.
Samaki wanaatamia????Mayai ya samaki naweza pata? Kuna samaki wangu ameanza kutamia juzi sema ana mayai manne tu. Nataka nimwongezee yafike angalau 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri Mkuu.Hizo namba wekeni hadhari that's business sio siasa MTU kuku pm iwe no personal matter bwana nyinyi vipi kuna watu wengi wanataka but wanataka mambo yawe open ili no jukwaa bwana msisahau hilo
Sent using Jamii Forums mobile app