Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unauza ghari sana mayai, wenzio wanauza 15,000/ now days wafugaji wa kware ni wengi
Tanzania watu hufata sana speculations. Leo ukiamka useme bata ana faida ya hiki kila mtu atataka ale au afuge bata na bei itapanda zaidi, ila hakuna scientific proof kuwa kware ana vitamins nyingi kuliko kuku etc.

acha ujinga..... scientifically quail (Kware) is a bird that has the most protein value (28%protein content) of all aves
wewe unachujua ni vitamins tuu .... jifunze kujifunza
Mkuu unauza ghari sana mayai, wenzio wanauza 15,000/ now days wafugaji wa kware ni wengi
Humu ndani bwana!!!!!!!!,Hii biashara naipa hadi December hakuna utakaye sikia anauza wala kufuga, watu tunakurupuka bila tafiti tunafanya kwa sababu ya story za vijiweni, tunakaa vijiweni kuaminishana kwamba inawezekana, mataokeo yake inakuwa ni shida biashara kama hii ya kware unajikuta ni biashara kati ya producer na producer na si kati ya producer na consumer, wengi wanao nunu na wao wanataka kufuga ila ki uharisia hakuna wateja, wa hii kitu na mtu akinunua mara moja akona hakuna ishu harudii tena, Jamii haijui kware,