google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
kwan Daby wanene wanatumia kifuniko au mfuniko ? hapo kama pamenichanganyaNimeamua kuhamia biashara yangu humu ndani naamini mpo wadada warembo mtakaoniunga mkono kwenye hii biashara yangu mpiya.
Nauza vifuniko vya asali vya kila aina.
Uwe mwembamba kifuniko chako kipo. Uwe kibonge kama nanii kifuniko kipo. Karibu pm tuma umbo nikuchagulie kifuniko haraka kabla havijaisha.
Najali wateja...nawafit mwenyewe pale wanapohitaji msaada....G-string zipo...lace zipo...ni wewe tu...karibu ujichagulie kifuniko...
View attachment 1165004View attachment 1165005View attachment 1165006View attachment 1165007
Chagua 3 bomba bebi! Hakikisha zimenata na beat ili watoto wasije kuchelewa shuleNgoja nikae hapa labda nitapata wa kuninunulia
Hehehe hiki kiswahili chako bwanaChagua 3 bomba bebi! Hakikisha zimenata na beat ili watoto wasije kuchelewa shule
Unazingua, wakati hadi size unajua[emoji3][emoji3]
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Aisee
HahahaUtalipia mkuyeee,? [emoji3]
Ngoja nikae hapa labda nitapata wa kuninunulia
si unajua vifuniko au kifuniko ni kidogo tu ila mzigo mzito, kitu mtetemo lazima utafute mfuniko heavy mzinga wa asali upate coverage yakutosha.Hahaha...
Eti wanene mtusaidie hapa...wenu ni vifuniko au mfuniko?
Mnunulie mama Swalehe pia[emoji3] [emoji3]Hahaha
Aisee ashanikimbia kitambo nimebaki na swalehe tu hapaMnunulie mama Swalehe pia[emoji3] [emoji3]
Ulimfanya nini mpaka akimbie?, kama salehe mtundu hivo, baba ake je si atakua zaidi ndyo maana akakukimbia ,umekomeshwa [emoji3]Aisee ashanikimbia kitambo nimebaki na swalehe tu hapa
Alinisaliti anyway ni story ndefu sitaki kukumbuka maana nkikumbuka hua ninalia nishamsameheUlimfanya nini mpaka akimbie?, kama salehe mtundu hivo, baba ake je si atakua zaidi ndyo maana akakukimbia ,umekomeshwa [emoji3]
Anaetaka kuninunulia hiyooo ya picha ya pili kutoka chini, aseme nimpe mwongozo