Duuuh [emoji15]
Hutaki kuninunulia babe??? Nikupe mwongozo wa kufuata hahahah
Wewe ni kutoka kwa kenyataOoh hongera Kwa biashara,ni pesa ngapi per kifuniko?
Daby tuheshimiane, unipime mimi
Unachotakiwa kufanya uliza bei kwa muuzaji, nunua unazoona unaweza, then niambie sasa nifungue njia ya kufika kwangu hahahahaEmbu nipe mwongozo Tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daby tuheshimiane, unipime mimi
Ooh hapana mkuu,am from TzWewe ni kutoka kwa kenyata
Nisalimie Ndugu zangu
Kama Asha Boko vile, au akupe size kama yangu xxxxxl[emoji3] [emoji3]Za wanene hauna, ? Dizaini kamaaa sijui nikupe mfano gani.
Saiz ya mwisho itanifaa .Kama Asha Boko vile, au akupe size kama yangu xxxxxl[emoji3] [emoji3]
Naskitika kuwaambieni biashara haijafanya vizuri. Sijapata mteja wa JF hata mmoja.
Nawakumbusheni tena..vifuniko vya asali bado vipo.
Chako kipo mama fanya haraka uje nikuvalishe maana vyakutosha najua.
nipo njiani nataka nikupitie twendeNimecheka unasalimiwa na shemejio lkn
Umeadimika mpendwa kulikoninipo njiani nataka nikupitie twende