Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
ShukranKila la kheri kwenye Biashara yako Mkuu
Ndio mkuu karibu sana.14500 ni vyote 10 au
Hailipi mkuu, nitakuuzia jumla 240k. Vyote200k vyote?
Karibu mkuu, vipo 200 tu. Sio biashara endelevuNice
Kodi ulipe piaVimebaki 150 wakuu
Sawa mkuuKodi ulipe pia
Nko DSM hapa uwanja wa ndegeUpo mkoa gani mkuu?
Kwa hiyo maana yake kimoja ni TZS 1,450/-.Habari wakuu,
Nina vikombe vya udongo takriban 200 hapa ofisini naviuza.
Chukua kuanzia 10, update kwa elfu 14500 TU.
Call 0628731833
View attachment 2841471View attachment 2841474View attachment 2841474