kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,980 Reaction score 3,635 Jun 12, 2014 #1 Habarini wakuu? Ving'amuzi vipya kutoka starttimes,cables na Antena vinapatikana.Bei ni 79,000 tu kikiwa kimeunganishwa na kifurushi cha kili kwa mwezi mzima. Pia Antena na cables zake mita 15 zipo.Napatikana sinza palestina kituoni. BRAZILIKA.
Habarini wakuu? Ving'amuzi vipya kutoka starttimes,cables na Antena vinapatikana.Bei ni 79,000 tu kikiwa kimeunganishwa na kifurushi cha kili kwa mwezi mzima. Pia Antena na cables zake mita 15 zipo.Napatikana sinza palestina kituoni. BRAZILIKA.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Jun 12, 2014 #2 mi nataka antena peke ake bei gan?
kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,980 Reaction score 3,635 Jun 12, 2014 Thread starter #3 boniface salim said: mi nataka antena peke ake bei gan? Click to expand... Elfu 20 ntakupatia.