INAUZWA nauza visu vya kukata lami

Hizi si ni kama nyara za serikali?..maana lami kwa sehemu kubwa ni mali ya serikali.

Hivyo kwa maneno mengine Wateja unaowatafuta kwa sehemu kubwa ni Serikali...au ni nini kingine inakata?.
 
Yapo makampuni mengi yanayojihusisha na ujenzi wa barabara na madaraja. Come on mbuzi meeeee
 
Hizi si ni kama nyara za serikali?..maana lami kwa sehemu kubwa ni mali ya serikali.

Hivyo kwa maneno mengine Wateja unaowatafuta kwa sehemu kubwa ni Serikali...au ni nini kingine inakata?.
Kawaulize wajenzi watakupa elimi zaidi..

hizo "diamond disks" zinakata mawe, zege(concrete slab) chuma nk.

Kwa ujumla matumizi ni mengi nje ya lami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…