NAUZA MEZA NA VITI VYA MBAO
meza 3 za chakula
Meza 2 kubwa kwaajiri ya counter ya mhagawa
Kuna viti 11 vipo fresh ni bado vipya vilitengenezwa kwaajiri ya mgahawa sasa vinauzwa kwa dharula
Vyote 800k
Pia kuna microwave ya mtumba BEI 50000
Call 0746484643
Naona biashara ya mkahawa imeanguka. Mbona tunaambiwa kuwa mkahawa ndiyo biashara nzuri kwa sababu watu ni lazima wale? Au ulikosea location mkuu? Si vibaya ukotupa changamoto kidogo ulizokumbana nazo katika biashara hii...
Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on. Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya kukodi au kushare nipo teyari kwa yeyote anaye husika na maswala ya migahawa na anavitu vya migahawani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.