Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on. Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya kukodi au kushare nipo teyari kwa yeyote anaye husika na maswala ya migahawa na anavitu vya migahawani...