INAUZWA Nauza vitu hivi chap kwa wenye magari

INAUZWA Nauza vitu hivi chap kwa wenye magari

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
*** Nina Carpet mbili moja nyeusi na nyingine transparent kila moja ntauza 20000/ badala ya 40

***Kamba ya chuma ya kuvutia gari wa kati wa dharura taiuza kwa 10000 badala ya elfu 20

***Reflective triangle mbili kwa 7000 tu

***Dawa ya kusafishia na kutoa ukungu kwenye taa 10000 tu

***Foam cleaner kwa ajili ya kusafishia siti zipo 3 moja Tsh 7000

***Stering cover 4 bei maelewano

Nipo Tabata Kinyerezi nicheki kwa namba

## 0783391278

Wahi mapema bei hizi hazijawahi kutokea popote
b65886146c21da5ebc33df4aaa81c443.jpg
s-l300.jpg
Auto-Foam-Cleaner-Multi-Purpose-Foam-Cleaner-650ml.jpg
Wire-Rope-Lanyard-A3-5.jpg


Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
***Dawa ya kusafishia na kutoa ukungu kwenye taa 10000 tu
Kuna magari ya enzi na enzi taa zake hazipati hili tatizo la ukungu sijui kwanini taa za siku hizi nyingi lazima zisafishwe kwa dawa
 
Back
Top Bottom