Nauza vitu mbalimbali



Wale wa OFISINI KAZI KWENU SASA NAOMBA HII ISIWAPITE NI MPYA KABISAAA
HP PAVELLION KWA 1.7MILLION
16GB
SSD512GB
 


Kwani watu wa Iphone mnashida gani lakini!!!!πŸ™„πŸ™ƒ
Unashindwaje kumiliki na ka MackBook Air 2017 ambacho kipo na storage ya 256Gb na ka ram 8GB
Kwa pesa ya madafu 850k ebu naomba unitumie message bwana
0685237039
 

Unaona hii mpaka nacheka πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamani Kwani hii hata ukimnunulia mtoto mbona inafaa sana
Kama unataka bei Dm kwa 0685237039
Hadi utacheka ni new kabisa
 
JAMANI IKUMBUKWE KUWA SISI NI AGENTS WA KUAGIZA MIZIGO KUTOKEA UK, CHINA NA DUBAI.
UKIHITAJI GARI ,FRIDGE, PIKIPIKI ,TV , PC , SIMU NA KUENDELEA. USISITE KUTUULIZA SISI .MAANA MIMI BADO NI RAFIKI YENU NA NITAFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA .
BIDHAA IKIFIKA NDIPO UNAILIPIA .TENA KW GHARAMA ZA KULE NA SIO BONGO LAND
 

Huyu MYLES anachukua bidhaa kwetu na anafanya vizuri sana kwa sasa .
Karibu sana. NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES
Enjoy the Best Rates
 
Jamani
Your browser is not able to display this video.
 


G.pixel 3a 128GB ni 320k ni new like zipo Dukani kwetu
Kwa mtu atakayechukua zaidi ya moja nampa kwa 290k
 

JAMANI NA SAA KALI ZA GHARAMA ZIPO PIA NI 45K
 

Njoeni mawinga sasa kwa 480k
Na kama wewe unataka simu moja njoo na 550k
G.pixel 6a 128GB
 

Ningewaambi ni bei gani πŸ˜‚πŸ€£ sema mshajipata Njoeni niwaambie bei za Iphone kali kuanzia 270k
 


KINACHO WAHARIBU WANAFUNZI WENGI WA VYUO VIKUU NA WATANZANIA KIUJUMLA NI UWOGA GA KUJARIBU .
MFANO ,KUNA MTU ENDAPO ANGEKUWA UDSM NA BABA YAKE NI YUPO NA KASHIRIKA BASI ANAONA MIMI SIO LEVEL ZANGU KUJARIBU KAMA WINGA DUKANI KWETU.
KUMBE PASINA KUJUA UMRI UNAENDA NA JINSI ILIVYO KWETU TZ HAKUNAGA URIDHI MAANA NI KUGAWANA CHENJI ALIZOACHA MZEE.
SO KAMA WEWE NI MWANAUME NA UNAHITAJI KUPAMBANIA HATIMA YAKO USIACHE KUTIA FURSA YA MIMI KUWEPO.MAANA KUNI TEXT WHATSSAP 0685237039 SIO GHARAMA SANA .NA HATA UKIWA UNANIULIZIA BAADHI YA MICHONGO SITOKUFICHA KABISA MAANA NATANI SOTE TUWE MBALI INGAWA NA MIMI BADO NAHIJI PIA KUWA PAZURI
 


WALE WALO SEMA MA FRIDGE YAKO WAPI NI KAMA HILI NI BEI CHEEE FROM Dubai
1,500,000/=
 

Na hili ni 500k πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Hivi NIZAR ACCESSORIES tuwape nini ili milizie sasa
Dm na 0685237039
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…