Nauza vitu vifuatavyo

Nauza vitu vifuatavyo

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover.

Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942
Duka lipo Arusha mjini.

IMG-20240208-WA0003.jpg
IMG-20240207-WA0002.jpg
IMG-20240205-WA0005.jpg
IMG-20240204-WA0009.jpg
IMG-20240205-WA0007.jpg
IMG-20240204-WA0008.jpg
IMG-20240208-WA0002.jpg
IMG-20240207-WA0003.jpg
IMG-20240207-WA0002.jpg
IMG-20240207-WA0003.jpg
IMG-20240204-WA0009.jpg
IMG-20240204-WA0010.jpg
IMG-20240208-WA0004.jpg
IMG-20240204-WA0008.jpg
IMG-20240208-WA0006.jpg
IMG-20240208-WA0007.jpg
IMG-20240204-WA0006.jpg
IMG-20240204-WA0001.jpg
 

Attachments

  • 20240210_071746.jpg
    20240210_071746.jpg
    78.8 KB · Views: 3
  • 20240210_071800.jpg
    20240210_071800.jpg
    71.5 KB · Views: 3
  • 20240210_071813.jpg
    20240210_071813.jpg
    43.8 KB · Views: 3
  • 20240210_071600.jpg
    20240210_071600.jpg
    44.8 KB · Views: 3
  • 20240210_071654.jpg
    20240210_071654.jpg
    79.8 KB · Views: 3
  • 20240210_071709.jpg
    20240210_071709.jpg
    66.7 KB · Views: 3
  • 20240210_071721.jpg
    20240210_071721.jpg
    77.7 KB · Views: 4
  • 20240210_071734.jpg
    20240210_071734.jpg
    77.8 KB · Views: 4
  • 20240210_071642.jpg
    20240210_071642.jpg
    52.1 KB · Views: 4
Shuka bei gani?
Kuna 5 kwa 6 = 22,000tsh
Kuna 6 kwa 6 = 25,000tsh zote foronya mbili na shuka mbili katika kila seti .

6 kwa 7 = 30,000tsh
7 kwa 8 = 40,000tsh mpaka 45,000tsh
Hizi seti zake ndani utakuta foronya 4 na mashuka 2.
Karibu
 
Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana .
Tunauza cover za sofa na za bed cover, .
Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni tag ukitaka kujua bei ya chochote hapa.
Duka lipo Arusha mjini
Vya kwako au kuna mtu unamuuzia kwa kamisheni! Ndo biashara wanayoijua wabongo!
 
Ukiingia kwenye magroup na social media ni watu kupost gadgets, nguo, masahani na mabakuri na masufuria sijui Brenda! Hapo mmbongo kafika! No production! No innovation! Hatuwezi kugundua kitu kipya chetu!
 
Arusha sehemu gani ili sisi wa Ngarenaro tubadili mashuka.
 
Arusha sehemu gani ili sisi wa Ngarenaro tubadili mashuka.
Ukiacha barabra ya kupanda stendi kubwa inayofuata inaitwa kariakoo ukinipa namba zako nitampa mtu wa dukani akupigie uje ukaone mashuka na bed cover zipo pia mapazia yaani pale samani zote za ndani zipo niwewe karibu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna 5 kwa 6 = 22,000tsh
Kuna 6 kwa 6 = 25,000tsh zote foronya mbili na shuka mbili katika kila seti .

6 kwa 7 = 30,000tsh
7 kwa 8 = 40,000tsh mpaka 45,000tsh
Hizi seti zake ndani utakuta foronya 4 na mashuka 2.
Karibu
Tafadhali wasiliana na mimi 0699 22 7942
 
Ukiingia kwenye magroup na social media ni watu kupost gadgets, nguo, masahani na mabakuri na masufuria sijui Brenda! Hapo mmbongo kafika! No production! No innovation! Hatuwezi kugundua kitu kipya chetu!
Hivi shida yako nini haswa umeacha majukwa mia unakuja humu unauliza ujinga ujinga kama huwezi au hutaki kununua acha na kama unataka kuwa dalali basi nawewe kajiunge sio kazi kutwa Unique Flower kisa nini?? Achaneni na maisha yangu . Mbona kwa wengine huendi kucoment upuuzi na hapa tu aliye kwambia hapa ni jalala lakila takataka kutupwa nini
 
Wewe binti unaonekana ni mpambanaji sana. Sema tu ndiyo hivyo; kuna maboya huwa wanakuzingua kwenye kile kipengele chetu pendwa cha 🥰

Kila la heri mwaya katika biashara na mapambano yako.
 
Back
Top Bottom