Hivi shida yako nini haswa umeacha majukwa mia unakuja humu unauliza ujinga ujinga kama huwezi au hutaki kununua acha na kama unataka kuwa dalali basi nawewe kajiunge sio kazi kutwa
Unique Flower kisa nini?? Achaneni na maisha yangu . Mbona kwa wengine huendi kucoment upuuzi na hapa tu aliye kwambia hapa ni jalala lakila takataka kutupwa nini