Nauza vitu vyangu vya ndani, nimepata mchongo wa kubeba box

...ungo dikoda mwendo DSTv, zinga la tV na deki ya DVD, bonge la mziki linatwanga tu CD,

na hakuna feni, full time ni AC, na ilo ni la dom tu, acha la Dar, home Temeke, mwanaJF unapokaa !
 
Watoto wa ki-sure bana, yaani anaona raha kulala chini km hivi, anakula mihogo! tena uswahiliniii, maisha haya kwake ni mapya anajionea sawa tu! duuu! mnajulikana kirahisi. sasa yule wa mbwinde asiye jua ku mbonji Ghorofani mmmmm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…